Recent content by Nurdin Mahamud

  1. N

    Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Leseni inahitajika ya mtu aliyesoma maabara ili uweze kusajiliwa
  2. N

    Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Ndiyo bei ni chini ya makadirio ya muandishi Leseni pia ninayo ni suala la makubaliano tu
  3. N

    Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Shukran sana Kwa mwenye uhitaji wa vifaa tajwa chini ya bei ya makadirio anidm
  4. N

    Sasa tuamue kutokuchuma janga ili tusilie wenyewe

    Kumekuwa na kilio majonzi na kelele kutoka kwa wananchi bara na visiwani juu ya jinsi gani ya kupata viongozi wazalendo wenye kusimamia rasilimali za watanzania ili ziweze kuwanufaisha wananchi. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ambazo zingeweza kuondoa maadui wanaoisumbua...
  5. N

    SoC02 Zimwi litujualo sasa linatumaliza

    Magonjwa yasiyo ambukiza ni wimbi ambalo limeendelea kupiga katika kingo ya jamii zetu. Pamoja na kujulikana visababishi vyake kama matumizi ya sigara pombe pamoja na matumizi yasiyo sahihi ya dawa antibiotics bado magonjwa haya yanaendelea kushika kasi Nini kifanyike. Elimu ya lishe itolewe...
Back
Top Bottom