Recent content by Numbu ya ng'wana

  1. N

    Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

    Mwaka huu ni shiiiiidahh.
  2. N

    Kawambwa anaharibu ubora wa Elimu Tanzania

    Kawambwa anapaswa kujiuliza ni kwanini wazazi hawapendi kupeleka watoto wao ktk shule za serikali japo kiwango cha ufaulu ni kidogo na gharama ni ndogo?Alipaswa kuhangaika na suala la kushusha ada ktk shule binafsi ili wazazi wengi zaidi wanufaike na elimu ktk taasisi hizo.
  3. N

    Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

    Mkuu wa nchi anatudharau sana watanzania,aweza teua yeyote kwa maslahi binafsi.
Back
Top Bottom