Hakumtaja yeye mwenyewe bali mwandishi ndio alianza kumuuliza kwa nini alikuwa hapatani na Magufuli
Na ni kweli Magufuli alimuita Rostam Ikulu na akaita waandishi akapiga nae picha, kisha akazunguka nae kwenye ziara Morogoro
David Livingstone mbona hata hakufika mlima Kilimanjaro?
Nadhani wewe ndiye utakua mbumbumbu halisi unayechukua ujinga mtandaoni na kuuamini na kuusambaza
Tembea mzee, hayo mazoezi umeshakata mafuta sawa,, ku maintain mazoezi bila kuupa mwili stress pia ni vizuri zaidi, unakuwa na muonekano mzuri bila kukakamaa lakini bado una afya na nguvu..Mimi sijawahi kimbia, natembea kivulini wakati wa jion, ila kwa miaka mingi uzito wangu unacheza kwenye...
Yeah, linaweza kuwa na maana hiyo lakini haimaanishi watu wote watazingatia hiyo maana
Changamoto kubwa ya mazoezi kwa watu wengi ni consistency...mazoezi kadri yanavyokuwa magumu ndio Ku maintain consistency inakuwa shida, so chagua mazoezi ambayo unaeeza kuyafanya kila siku bila shida yoyote...
Kwanza hii sio "conspiracy " au sijui conspiracy umemaanisha kwa maana sahihi ya hilo neno au una maana nyingine, hii ni basic science,
wanaofanya wanaweza wakawa wanajua, ama hawajui, mazoezi inategemea na lengo, mfano mwingine anaona ni fun kukimbia, anakimbia,
ushauri wangu unawalenga...
Kwenye mazoezi kitu muhiu zaidi ni consistency zaidi kuliko intensity, yaani ni bora MTU anayetambea kilomita 3 kila Siku mwaka mzima, kuliko anayekimbia kilomita 10 kila wiki lakini miezi 2 tu tayari anaona uvivu
Kutembea watu wengi hawajui in zoezi effective kiasi gani, wanachukulia poa...
Kuna Wapinzani wameamua iwe hivyo, hawa ndio nawajibu
Wanapush narrative kuwa sasa hivi ndio ufisadi umerudi, kipindi cha Magufuli mafisadi walifungwa, nataka kujibizana nao, hoja kwa hoja
Kuna watu wana nostalgia na utawala wa Magufuli, wakimshangilia Polepole, kuwa ulikuwa utawala uliojali demokrasia, haki za watu, na kupambana na kufunga mafisadi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.