Zana za upako zimeshindwa kuponya janga hili tulilo nalo ....hapa ndio tunajua kumbe ni porojo tu hazina upako wowote ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Shalom..
Ni mambo yakushangaza sana jamani katika pita zangu nikaona chupi za upako zina picha kabisa ya mtumishi... nmeshangaa sana nikajiuliza inawezekanaje mambo haya..... ina maana watu tumefikia hatua hii ya kumchezea Mungu kiasi hichi??? Inawezekanaje nguvu ya Mungu kukaa katika chupi...
Ujumbe mzuri sana huu wanawake tunapaswa kujifunza hili,, siku zote wanawake tunapenda sana kuongea ongea sana siri za ndoa zetu kwa watu na ni kitu ambacho si kizuri maana si kila unayeenda kumsimulia siri zako akawa anawaza mema juu yako ....lipo la kujifunza hapa
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.