Recent content by ntemintale

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Kuna mtu tangu saa mbili USIKU Yuko Ruvu mpaka muda huu saa Tisa USIKU hajafika Mailimoja.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Hii ni zaidi ya foleni. Kuna mkwamo wa Hali ya juu sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Ile barabara ya njia tatu inapaswa iende mpaka Chalinze
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

    Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo Shida ni nini? 1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au 2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Mr P, kwa hiyo huyu ndiye masiha ajaye kwenye ufalme wa nchi hii?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Tatizo la kutoelewa sheria kanuni na taratibu kazini zinapelekea mkanganyiko mkubwa. Inawezekana hata Makonda mwenyewe hajui nini anapaswa kufanya kama mwenezi wa chama. Anadhani na yeye ni kiongozi Serikalini. Kuna siku atamhoji mpaka Mkuu wa Serikali ambaye ni Mwenyekiti pia
  7. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Sitashangaa siku akihoji Mamlaka ya Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM. Anachokifanya Makonda kuhoji watumishi wa umma hadharani ni sawa na kuhoji Mamlaka ya Kiongozi Mkuu wa Serikali amabaye ndie Rais na Mwenyekiti wa CCM. Yaani hii ni kuidhalilisha Serikali. Kwa kifupi Makonda anatemgeneza...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Kwa kifupi wanaishi kwa mazoea ya mwendazake kukanyaga sheria kanuni na taratibu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Na wizara ya utawala bora ipo inashuhudia mwanasiasa Makonda anakiuka sheria
  10. N

    JamiiForums Tanzania Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema, TLP na CUF. Kwa hiyo chain of Command ya Utendaji wa Serikali haimtambui Mwenezi wa Chama Cha Siasa kuwa ni Reporting Unit kwenye...
  11. N

    JamiiForums Tanzania TRA wakifuata sheria za kodi kikamilifu, wafanyabiashara wengi tutafirisika

    Haya Haya Vijana Wa TRA Wakikaza mnalalamika
  12. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa na uhalali wa maamuzi hadharani

    Mamlaka ya Uteuzi ikikasirika, haina haja ya kupeleka Bungeni Sio? Lakini Bunge linaweza kumkataa PM bila idhini ya Rais, vp Rais akigoma?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa na uhalali wa maamuzi hadharani

    Kujigeuza mahakama Hadharani, haijakaa vizuri. Imagine Kama Rais anamnanga PM Hadharani, itakuwaje?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa na uhalali wa maamuzi hadharani

    Mbinu ya kumtaja mtuhumiwa Hadharani Kama mkosaji, inaharibu Sana Sifa yake. Kama Ni kweli kafanya Ni Sawa, lakini Kama bado Ni tuhuma, Basi ikithibitika mahakamani kuwa hakuwa Na kosa, inakuwa imemharibia Sifa Na hakuna mtu ataenda Hadharani Tena kumsafisha. Nadhani mifumo ya ndani ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa na uhalali wa maamuzi hadharani

    Mchakato Wa kumuondoa PM Ni ule ule Kama Wa kumuweka madarakani. Vipi Kama Bunge likagoma, kumuondoa Kwa Kura? Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom