Hapo ndo naamini cdm imejaza vilaza,hata hili hamlioni,chama gani hakifanyi uchaguzi?ndo nyie tuwape nchi! Tehe tehe jibuni swali uchaguzi wenu ni lini? Au mpk mle zile pesa za msaada ndo mtafanya uchaguzi!
Kwa muda sasa kumekuwepo na habari mbali mbali kuhusiana na chama cha CHADEMA ndani ya jiji la mwanza! kiukweli wananchi walipomchagua Wenje na Kiwia walitarajia mabadiliko makubwa kinyume chake kila kitu kimezidi kudorora!
Je CHADEMA kujaa watukana matusi ni tija kwa taifa?+
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.