wakati unafikiria hayo kumbuka ukawa sio chama na ni umoja unaofikirika tu haupo katika sheria, kanuni wala taratibu zozote zinazotambulika kisheria, katiba iko wazi Waziri Mkuu lazima atokane na chama chenye wabunge wengi full stop
Hakuna ubishi kuwa Sumaye hajawahi kupewa nafasi yoyote katika Serikali ya awamu ya nne kutokana na maovu yake, na Lowasa amekuwa akitajwa kwa Ufisadi na wana C.C.M pamoja na Chadema na ndio maana aliwekwa kwenye list ya kujivua gamba na amekuwa akitamkwa waziwazi na kina Makonda nape na...
nimemsikiliza kwa dk 10 alizoongea sijasikia Sera zake ni zipi zaidi ya kuomba kura, kuahidi kumuachia babu Seya na Masheikh wa Zanzibar pamoja na Balali, then akishafanya yote hayo maisha bora yanapatikanaje, halafu sera yake ni elimu, elimu, elimu..ha ha mwaka huu mtaisoma namba, mtu mwenyewe...
Kumbe mafisadi wapo Ccm tu, ukitaka kuokoka nenda UKAWA, sasa alivyokuwa anasema urafiki wake na Jk haukuanzia barabarani, kwa hiyo leo anathibitisha ulianzia barabarani, kweli mfa maji haishi kutapatapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.