Recent content by NTAMBIRWEKI KATO

  1. N

    Yaliyojiri Ubungo Plaza: Prof. Lipumba ametangaza nia ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Mtoa post umesema ameonesha picha na kusema waasisi wa TANU na mmojawapo alikuwepo, ni nani huyo? Kusema kujua uchumi siyo hoja huko ni kupotea njia, kinachotakiwa utashi wa kisiasa sambamba na ujuzi na maarifa. Unaweza kuwa na utashi lakini wataalam wa mambo wakakushauri vinginenvyo
  2. N

    Jenerali Ulimwengu: So everyone wants to be president? Not me, I’d rather be dating Angelina Jolie

    This situation may suggest that; "State house has lost its value due to the behaviors of the current president or there is something to gain while in power, so everybody struggling for it or even the party has totally proved failure in recruiting and preparing the future leaders for the welfare...
  3. N

    Prof. Lipumba na mbio za Urais

    Kutangaza nia siyo tatizo labda wasiwasi wangu ni huko kuiga kwa maccm make nakumbuka tuliawhi kuambiwa kuwa chama chake tayari kimempitisha kama mgombea wa chama hicho ili baadae ashindanishwe na wengine ndani ya UKAWA lakin cha ajabu anataka kutangaza tena, hapo nina mashaka makubwa
  4. N

    Simbachawene kwisha habari yake jimboni kwake Kibakwe

    Nasikitika mtoa post unadharau elimu ya chia eti ni ya chuo kikuu huria eti ni ya chooni, kwni vyuo vya kawaida hamna vyoo? Unajua chuo kikuu huria kinashika nafasi ya ngapi kitaifa? mambo mengine tupunguze kuropoka, taja hoja yako ya msingi
  5. N

    Tutaijenga Newala mpya na Haji Mnasi

    Kamanda wa vijana wilaya afu afisa elimu! Kwa nin anafanya siasa wakati ni mtumishi wa umm?
  6. N

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    CCM na watia nia wake ni majanga ya taifa. Leo Pinda anawambia watz kuwa ataleta utawala bora (hapo amekiri kuwa haupo kwa sasa) na kusahau kuwa aliwahi kutamka katika mkutano wa taifa (bungeni) kuwa wanaoandamana kudai haki zao wapigwe? Aibu kubwa. Hivi ni njia ipi mtu atasema na kusikika...
  7. N

    Nia ya kugombea udiwani

    Nimesoma uzi mmoja ulikuwa ukiuliza ni kwa nini wana jamii f hawatangazi nia za kugombea udiwani. Sasa niweke bayana kuwa binafsi nilisha tia nia ya kugombea udiwani kata ya Businde iliyoko jimbo la Kyerwa mkoa wa Kagera. Nimejipanga vizuri kuwatumika wananchi wangu kwa tiketi ya CHADEMA na...
  8. N

    Katibu Mkuu DK. Willibrod Slaa ziarani Barani Ulaya

    Huko ni kuimarisha Dipromasia, make UKAWA wanachukua nchi. Katibu mkuu ndiye mtendaji mkuu wa chama. Kama chama makini lazima kuwa na dipromasia ya kimataifa, hata Nyerere kabla ya kukabidhiwa nchi na wakoloni alienda sana Marekani na Uengereza. Huyo haeindi kama kiongozi wa nchi make kiongozi...
  9. N

    Katibu Mkuu DK. Willibrod Slaa ziarani Barani Ulaya

    Kwani amekuwa katibu mkuu kwa kipindi gani?
  10. N

    Kutangaza nia CCM sio tatizo, lakini ukitangaza upinzani unaitwa msaliti na mamluki

    Kumbe we una matatizo, makada sita walifungiwa muda gani? suala ni wakati tu
  11. N

    GE2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

    Mimi nilishasemas sitojihangaisha kujua mgombea mzuria au mbaya kutoka CCM kama CCM wasivyo hangaika kujua mgombea mzuri au mbaya kutoka UKAWA. Hivyo wamsimaishe nani lazma apate zake bakora
  12. N

    Ndunda Ndunda na Salum Mwalimu!

    Mtoa mada shetani wewe. Yaani unajibagua rangi ------ mkubwa, unadhani kiongozi mpaka awe mweupe na mkenuaji kama tuwaonao? pumbavu
  13. N

    Uchaguzi mkuu 2015 ni muhimu kuzingatia Ushauri wa Prof Lumumba

    The statements are OK, my doubt is, is PLO a Tanzanian? when says "We Tanzanian...."
  14. N

    Barua ya wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC

    BARUA YANGU YA WAZI KWA TUME YA UCHAGUZI NEC WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU WAELEKEA KUKOSA HAKI YAO YA KIKATIBA Mh, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi NEC, wanafunzi wa elimu ya juu tunanomba makosa ya mwaka 2010 yasijirudie. Ikumbukwe kipindi hicho binafsi nikiwa kidato cha sita, tume hihi ilituhaidi...
  15. N

    Lowassa, tarehe 30 utakapoongea na watu wako usiruke neno kujibu haya

    Unafiki mbaya sana, eti alijuizulu kubnusuru serikali ya CCM. kama CCM ilikuwa bora kuliko watanzania Mungu atampiga kofi kali sana na hatolisahahu
Back
Top Bottom