Elections 2015 Mambo 10 niliyojifunza 'sanaa za maonyesho' za Lowassa - Arusha

Namba 1, 2 na 3 hazina chenga kabisaaa

Ila mkuu usiwe na hofu, ccm hawawezi fanya kosa kumsimamisha huyu kiume, let us wait and see!!
 
asante sana , kiukweli umeandika kila kitu ! na nakiri kwamba una akili sana , umeona ambayo wengi hawajaona , hongera sana .
 
Huyu wa leonimemwona Namsubiri wa kesho. nasikia na mwingine yupo keshokutwa. tutakoma kila siku kuna mtu anatangaza NIA.
Bado nipo neutral mpaka nitakapomwona wa mwisho ndipo nitatoa maoni yangu.

mwingine!!!!!
 
Kilicho nivutia watu wengi wenye asili ya kaskazini walikuwa wakisema hawaipendi ccm na walikuwa wakijinasibu kwa vyama vya ukawa leo baada ya mkutano wa luwasa wamerudi ccm na kumsifia sanaa luwasa.
Kumbe walikuwa ukawa ukawa kwa mkopo leo wamerudi chama lao zamani.
 
Mimi nilishasemas sitojihangaisha kujua mgombea mzuria au mbaya kutoka CCM kama CCM wasivyo hangaika kujua mgombea mzuri au mbaya kutoka UKAWA. Hivyo wamsimaishe nani lazma apate zake bakora
 
2005: Nguvu, ari na kasi mpya

2010: Maisha bora kwa kila mtanzania

2015: Safari ya matumaini

2025: Mimi naona Mungu njoo uchukue nchi yako tu
 
Back
Top Bottom