Recent content by ntabwa

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha kampuni ya webhosting and domain name registrar

    Nimependa maelezo yako lakin haujasema atapata wap hizo extension za kimataifa vile vile orodha ya vifaa anavyo hitajika kununua.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    asanteni sana wakuu....heshima kwako Dr Preta
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Habari,kwa wale walio wahi kuwa na tatizo tajwa hapo juu na wakafanikiwa kuondokana nalo naombeni msaada wa njia au dawa mlizotumia kumaliza tatizo hili.Tatizo hili linaninyima amani kwa muda mrefu sasa wa miaka 6 na nimejaribu deodorant mbalimbali lakin kadri siku zinavyo songa mbele na tatizo...
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidie hatua kwa hatua jinsi ya kuunga Website yangu na huduma za Adsence

    Post ni zaidi sana ya 100, Kama 1700 ila iyo yakusomwa na watu zaid ya 100000 sijakuelewa, una maana kila moja au kwa ujumla?
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidie hatua kwa hatua jinsi ya kuunga Website yangu na huduma za Adsence

    Tafadhali husikeni na kichwa hapo juu, nimekua nikifatilia post mbalimbali kuhusiana na google Adsense na kufatisha vile inavyoshauriwa lakini ni mara ya tatu sasa nawaomba hawa jamma lakini wananigomea. Naomben wenye uzoefu na mambo haya mpitie blog yangu vizuri (Ndimanga Blog) halafu mnambie...
Back
Top Bottom