Recent content by NSUVI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanroads iringa

    kama ni kweli ss watoto wa maskini hatutapata kazi,tutaishia kuitwa kwnye intervew kama gelesha tu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa

    huo ni mwanzo mzuri,wana Jf riziki ya mtu hupangwa na Mungu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya secretary,au stationary hapa mbeya mjini.

    asante kwa ushauri ntaufanyia kazi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya secretary,au stationary hapa mbeya mjini.

    Ni kweli ni post yangu ya kwanza lakn nimeanza kutembelea jamii forum muda mrefu na nikaona watu wanatafuta kazi na wanapata kama una nafasi au unajua ilipo usisite kunisaidia
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya secretary,au stationary hapa mbeya mjini.

    sitachati nikiwa kazini,kwa sasa sina kazi ndo maana nachati
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya secretary,au stationary hapa mbeya mjini.

    umri wangu ni miaka 25 elimu yngu ni kidato cha nne,nina certficate ya computer application pia nina certificate ya human resource management kutoka chuo cha tawala za mikoa na serikali za mitaa-Hombolo Dodoma.
  7. N

    JamiiForums Tanzania breaknews utumishiii

    Sijui sie wakina yakhe kama barua zetu zitakuwa zimeonekana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya secretary,au stationary hapa mbeya mjini.

    wadau wa jamii forums,mimi mdau mpya wa jamii forums kutoka mbeya,naombeni msaada wenu,nina uzoefu wa computer pia nimeshawahi kuwa secretary katika mojawapo ya chuo hapa mbeya,Kwa mwenyewe anafahamu ofisi yoyote yenye uhitaji wa mfanyakazi tuwasiliane.nategemea msaada wenu
Back
Top Bottom