Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya,, naomba msaada wa PC nzuri kwa ajiri ya kujisomea na unafuu wa bei na pia upatikanaji wake napatikana Kinondoni Dar karibuni na asanteni
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya, nahitaji msaada wa PC nzuri kwa ajili ya kujisomea na yenye bei nafuu na kwa yeyote anayeweza nisaidia upatikanaji wake,
Napatikana Kinondoni Dar,,, Karibuni na asanteni
Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, )
Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa chochote kile juu ya chuo chetu pendwa,,, karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.