Wana-JF,
ninaomba ushauri juu ya hii biashara ya kununua mpunga na kuhifadhi. Inalipa bado? Kuna wakati ilikuwa dili. Kwa sasa ninaweza kupata kamtaji angalau kuanza lakini sina hakika. Mwaka jana naskia watu wamekula hasara na michele ya nje. Ushari tafadhali. Nitashukuru.
Habari wana - JF,
ninauza kuku wa kienyeji kilo moja na nusu mpaka 2, kila mmoja TS. 20,000. Wapo kuku zaidi ya 80. Kama kuna mwenye interest ya kununua sms tafadhali kwa 0784-026-809. Eneo goba.
Asanteni na karibuni.
Habari wana-JF,
nina kuku wa kienyeji ninauza. Kilo kati ya 1.5kgs na 2kg ninauza Tsh.20,000 kila mmoja. Wapo zaidi ya 80. Eneo Dar es salaam maeneo ya goba. Namba 0784-026-809. Sms plz kwa mwenye interest.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.