Recent content by Nshuti divine muheto

  1. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Hio ni August 8 anamuuliza kama behind the gram imeditiwa . Inaonyesha still alikuwa anafanya kazi pale. Wewe ukifanya kazi kibarua hata cha kung'oa majani ndo usilipwe kisha hakuna mkataba?????
  2. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Ndicho mleta mada alichomaanisha. Soma maelezo kasema Zamaradi tv ndo inadaiwa.
  3. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Wewe hio ishu Mr. Huyo baada ya mkataba kuisha aliendelea kufanya kazi japo bila mkataba. Inamaana unataka kusema ukifanya kazi bila mkataba haulipwi??????? Huyo jamaa still alikuwa anafanya kazi wewe angalia tarehe za chatting zao ni za mwezi uliopita so still alikuwa anafanyakazi japo bila...
  4. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Umesoma vizuri my. Kinachoniumixa tuu why wanangu wakose. Uwe unasoma vizuri sawa
  5. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Hata nyie wanaume mnapunguza siku zenu za kuishi, kwa kutumia sehemu zenu za siri
  6. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Si wanaume mnajiona jinsi mlivyo bila haya . Mtu anakufuata pm kajekudya
  7. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Mbona nyie mnavuliwa boxer na ke zingine
  8. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Yes najua hilo ila kuchepuka hatakuja kujua kwa asilimia 100 kwani najua life style yake.
  9. Nshuti divine muheto

    JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Kuacha nitaacha nasubiri nikifike hatua flani hivi Kwa sasa nishaezeka , na plasta tayari na magrili. Nipo na huyu jamaa. Nikimaliza wiring, rangi, tales, na umeme. Na baadhi ya vitu naachana ne. Mwishoni mwa mwaka huu nitafika tuu.
Back
Top Bottom