Recent content by NSHIBO1

  1. N

    Sina imani na Kamati Huru iliyoundwa na Ummy Mwalimu kufuatilia sakata la Madaktari Watarajali

    Tatizo serikali yetu haipo makini. Uhuni uhuni tu. Huku ni kumpa Gambi tonge mdomoni.
  2. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Rejaa barua za Madaktari pls kwa kuwa hawapingi mtihani ila wanapinga hujuma zinazofanywa kwao. Ni kuekeze tu Madaktari bingwa ndio wenye kuweza kumthibitisha mtu kuwa daktari na si mtihani wa MCT. Tuwaache madaktari bingwa watusaidie kupata Daktari bora na kumhakiki Daktari na si maswali 200 ya...
  3. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Nina nani kakuambia wamefeli? Wewe unajua Daktari katika mtihani huo wa hujuma anatakiwa afaulu kwa marks ngapi? Na je unaweza kuekeza ni kwanini matokeo ya usiri mkubwa? Na je unaweza kusema ni kwanini Daktari akakata rufaa hawezi kuoneshwa mtihani wake? Kuna hujuma na sio watu kufeli mtihani.
  4. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Endelea kusoma, lakini pia MCT wana usiri mkubwa na hawana Marks za kueleweke. Emu soma na pita hizi attachment chini. Kinachotafuta na madaktari ni walau wapate leseni maana kama uweza wa kutibu wanao mkubwa Sasa hizo zingine zinaitwa ombaomba
  5. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Ni vyema ukaweka mizaha pembeni, kada hii ni muhimu sana kama sio Leo kesho utakutana na daktari, tafuta kuelewa changamoto walizo nazo na uwasaidei kusema Ili waweze kukuza ufanisi wao kesho ukikutana nao waweze kukuhudumia vyema
  6. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Sasa hili haliwezi kudhibitiwa na mtihani wa theory wa MCT ndio sababu tunataka matatizo haya yatafutiwe njia sahihi ya kuyatatua na sio mtihani wa MCT
  7. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Unaongea Yale Yale na unatakiwa kujua hizo 8hrs ni kwa hospital ipi? Hospital zote za Rufaa kasoro MOI wanawategemea internship kila kitu na kila wakati. Mtingo wa internship ni zaidi ya sounds watu wanatinga masaa 20 harafu wewe unasema 8. Harafu hakuna Daktari anaeweza kuwa bora kwa hospital...
  8. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Reja hoja za Madaktari na Rejea barua zote ninazokuwekea hapa, Mtihani wa MCT hauna ufumbuzi wa hayo unayoyasema. Mtihani wao ni hujuma. Ni hujuma kwa sababu madaktari wametibu watu na kuisaidia kurejesha afya za watu . Hawa madaktari tunaowaongelea hawata hizo changamoto ulizoziainisha na...
  9. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Huelewi, tafuta kuelewa na usilinganishe mafuta na maji eti kwa sababu vyote ni vimiminika. Ogopa sana kama hujuma itatawala kwa madaktari. Sikikiza na uelewe hoja za Madaktari kisha Pinga hujuma za MCT
  10. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Kinachoendeka leo nchini ni udhalilishaji mkubwa wa madaktari, tatizo watanzania wengi hawajui kada hii ya udaktari ndio sababu tunamuomba rais aingilie kati na atume nafasi tueleze mambo mengi ya ajabu ambayo ni aibu kuyaainisha hapa. MCT wanadhakikisha madaktari na waadhalilisha Madaktari...
  11. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Rejea comments zote utajifunza kitu. Kwanza ni vyema ujue huo mtihani hauna uwazi ukifaulu na ukifanyiwa hujuma huta jua. Dr Mzava anasema ukifeli umefeli na ukifaulu vizuri umefeli, Sasa Je huoni wanaofeli ni wale walio na uwezo mkubwa ila wamefeli kwa sababu ya uwezo wao mkubwa? Wewe unaachaje...
  12. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Hatuungi wala hatusemi mtihani ufutwe, mtihani ujue nyakati na mtihani ufanyike baada ya mtu kumaliza chuo na si vinginevyo. Muda sahihi kwa mtihani wa MCT ni baada tu ya mitihani ya chuo na kabla mtu ajaapa kuwa dakatari
  13. N

    KERO Responded Madaktari watarajali wamekuwa ombaomba Mtaani kisa leseni, wamuangukia Waziri Ummy Mwalimu na Rais Samia

    Wamefaulu kwa sababu waliokuwa na nafasi ya kujisomea, Ili uweze kufaulu mtihani wao basi ni lazima upuuze practice. Kama ukiamua kuacha kuasaidia wagonjwa wakati wa internship, ukiamua kukwepa kufanya clinical rotations wakati wa internship na kutokuzingatia kukutana na wagonjwa na kuwawekea...
Back
Top Bottom