kuvurugwa ni pale mnapokuwa wengi kwenye usafiri mnapata ajali alafu unakufa peke yako wakuu inakera sana unaweza hata ukajinyonga aisee..:(:(:(
;);););)NDO NIMETOKA KUOMBEWA:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
et kwenye dirisha lao la usajiri nackia wanataka kumsajiri kiungo TRUMP ili aweze kuongeza mashumbulizi mbele katika mechi zao sasa cjui itakuwaje
CHA KIBITI HAKINA RADHA KABISA YAANI
HAPO NDIPO UTAKAPO JUA GUNDI INAHUSIKA VIPI KWENYE KUBANDIKA MAHARAGE
mama leo kaamka akaniambia nipige deki me bila hiyana nikachukua lungu lililikuwa stoo nikaanza kupiga deki ya TV sasa ndo kaludi mda huu naona amechukua karatasi anapga mahesabu yake nahisi atakuwa anataka kunipa hela kutokana na kazi nzuri niliyofanya
jamani wakuu nimesikia kuna nyimbo mpya ya Man Fongo na Chriss Brown nani anayo anitumie fasta maana kuna sherehe hapa jiran yangu kutoka kwa Mr Bob anaiulizia sana
hiv kwanini watu wapendanao wanapenda sana kuitana majina mazuri ya kimapenzi kwa kiingereza kama vile my honey,my sweet,my watermelon,my torch, kwani haya yakisemwa kwa kiswahili si nimazur tu kama vile asali yangu,utamu wangu ukiingia kwa undani utasema titikiti maji langu kurunzi yangu alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.