Recent content by Nsanzagee

  1. Nsanzagee

    Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

    Hii nchi hatapata maendeleo mpaka Yesu atarudi! Yaani kwa Tanzania, mtu kuwa fisadi ni sifa? Na kwamba anahaki ya kulindwa tena kwa nguvu zote? Kwa nchi za wenzetu! Kwa sakata la sukari ilipaswa mtu mmoja auwawe kwa kunyongwa hadharani
  2. Nsanzagee

    Korea Kaskazini imesema itatuma wanajeshi wake nchini Ukraine kuisaidia Urusi

    Urusi ndo wa kuomba jeshi kusaidiwa kupigana na ka nchi ka Ukraine?
  3. Nsanzagee

    Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Wenye ujinga uliopitiliza wanapita kapa bila kuelewa, wenye uangalau wanapata walau moja moja lenye maana kwao
  4. Nsanzagee

    Luhaga Mpina, kwanini umewaroga Watanzania?

    CCM ndio shetani mkuu wa Tanzania
  5. Nsanzagee

    Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Tehe tehe! Punguza jaziba mkuu, kwa akili yako unadhani hao wafanyabishara wanakusaidia wewe uliyejificha nyuma ya keebodi huku ukidhani wewe isipoandamana mambo yatabadirika Chukua hatua acha ujinga
  6. Nsanzagee

    Sakata la Mpina na Kinachoendelea Kenya: Kila Mtanzania Anamlaumu Mwenzie

    Wafanyabishara warudi maofisini kwao, wakubaliane na kodi, wao wapandishe bidhaa basi Maisha yakiwa magumu sana kwa mlaji wa mwisho ataamua moja, ama aitafute haki yake ya kuishi na ama akae hivyo bila kula Kinachosumbua sana ni watu wa huku chini basi, maana wao kugandamizwa haiwapi shida...
  7. Nsanzagee

    Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Ukituliza akili ukaelewa, unaweza jilaumu badaye kwa hili neno lako na hayo ni mawazo yako
  8. Nsanzagee

    Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Mkuu upo sahihi tu wala hujakosea! Mimi nataka maisha hayo magumu yawapige sana walala hoi, wasipokula na hao wafanyabiashara wasipouza, ndio joto sasa la mgomo nchi nzima linafuata na heshima inakuja
  9. Nsanzagee

    Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Mkuu OKW BOBAN SUNZU kutoa maoni haijawahi kuwa ni kosa la jinai Nadhani pia, bado hukuelewa mtazamo wangu umewahi kutoa wazo lako la mwisho kwa kuwa tu umeshachoshwa sana na sera za maccm Mimi nataka sera hizo ziendelee kwa kasi ili wananchi wengi watakapochoka ndio tuone faida ya migomo
  10. Nsanzagee

    Ndugu J. Gwajima, ushahidi wa Mpina haujathibitishwa popote, hivyo huna HAKI ya kusema amedanganya

    Gwajima namheshimu sana, ila kwenye hili, nadharau mawazo yake kutuona sisi Watanzania hatuna akili mbele ya wala rushwa na wasio na huruma yoyote dhidi ya maisha ya Watanzania Kilichofanyika kwenye suala la Sukari ni uhaini haupaswi kufumbiwa macho na wanaotetea jambo hili nao ni wanufaikaji...
Back
Top Bottom