Recent content by NPYOPYOTZ

  1. N

    Ndugu zangu ninayopitia mimi kwenye mahusiano au mimi pekee ndo nayo yapitia kwa kuachwa hivi

    Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy Mwanamke wa kwanza Huyu nilidumu nae ko mda wa mwaka mmoja tu nakumbuka kipindi icho nimehitimu kidato cha...
Back
Top Bottom