Recent content by Notifier

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Kware: Kwa mahitaji ya mayai ya Kware, Vifaranga na Kware kwa ajili ya nyama n.k

    Mkuu mmoja anaweza kufika uzito gani?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji line ya Tigopesa kwa laki 150,000

    Mwenye line hiyo hela cash no stories!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

    Isizidi km 6 kutokea wapi, nje ya mji? kama hizo sehemu unazijua zilizopo nje mji unaweza sema ili kurahisisha chaguo lako! Na pia ungetaja pia na ukubwa, kwa mfano maeneo kama mkuranga,mwasonga unaweza kupata kwa bei hiyo kiwanja chenye ukubwa wa hekari!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

    Okey Boss, will notify in no time.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

    Wakuu nawakaribisha wote.....just dare!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

    okey Mkuu, kazi in progress.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

    Mbali na maeneo uliyotaja, vipi kuhusu size ya kiwanja unachohitaji, budget yako, sifa nyinginezo?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar es salaam au Pwani?

    Kama unahitaji kiwanja mahali yeyote hapa Dar na Pwani? Tafadhaliwasiliana nami kwa Pm. Unaweza taja specification zako pamoja na budget yako pia ili uweze kufanyiwa kazi yako kwa uraisi zaidi. Hata kama una hela ndogo, usisite pengine unawezapata kwa bei hiyo uliyonayo!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pata kiwanja cha 30x18 kwa Shs 5millions maeneo ya Kibugumo-Kigamboni

    Mkuu urefu wa hatua 30 na upana wa hatua 18! Kiwanja hakijapimwa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mwasonga kwa TZS 3.5 millions kwa hekari moja

    ni upande huo wa kibada kuelekea kimbiji ila unaacha barabara ya kimbiji.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Pata kiwanja cha 30x18 kwa Shs 5millions maeneo ya Kibugumo-Kigamboni

    Kiwanja kimepakana na barabara ya mtaa na pia kipo umbali usiozidi km moja kutoka Barabara kuu eandayo Geza. Ipo sehemu tambarare huduma za kijamii kama maji si tatizo maeneo hayo na pia maji yao si ya chumvi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mwasonga kwa TZS 3.5 millions kwa hekari moja

    Jipatie kiwanja mwasonga-Kigamboni kwa 3.5 millions kwa hekari moja. Kiwanja hicho kipo karibu shule ya msingi kichangani mbele kidogo ya Nyumba za Nssf! Kiwanja hicho kimepakana na kiwanja Oilcom(hii ni opportunity kwako kama una-invest) KIwanja hicho pia kimepakana na barabara ya mtaa! kutoka...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Pata viwanja maeneo ya Dege-Kigamboni kwa shs million 10 kwa Acre moja, jumla ya hecta zipo 10.

    kuwa shamba au kiwanja ni matumizi yake
Back
Top Bottom