Recent content by NothinGold

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Duuu, mkuu na wewe unajua kutia chumvi, eti kitu Sony bravia 50 inchi curve Mpya kabisa ilipigwa shoka chali kifo cha mende. Hahahahaaaa We kweli chumvi Namba 2
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu nitajaribu kuzingatia Ushauri Wako. Ila mkuu una maneno,
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Asante kwa pole na Ushauri mkuu
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu....nimekusikia
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu nitajaribu kuzingatia Ushauri Wako. Hahahaaa...mbona migodi yote imefungwa mkuu.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu ila hakuna sehemu nimesema yeye ndo chanzano cha matatizo. Ndo.maana nikasema migongano ilianza baada ya sms ya mvhepuko, mwenzangu akaenda kwao nikaenda kumchukua nikamuomba msamaha mbele ya mama yake yakaisha.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Mkuu huu ujumbe Wako ni Mkubwa sana sana and I wish mwenzangu angekutana na mtu kama wewe baada ya ile ishu maana hii thread isingekuwa Kwenye server ya JF. Nimeelewa 100% ulichoandika na nakubaliana na wewe 110% Mkuu Nina madhaifu yangu kama binadamu mwingine yoyote yule Ila Nina ubinadamu...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu.ila sio hadithi hiki ni kisa cha kweli kabisa.
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu hilo najua linaweza Kutokea na nilishajiandaa kwa ajili yake. Mkuu kuna mambo nilifikiria sana, je niwaache watoto na mama yao wapotee (hapa unaweza sema inawezekana wasingepotea au labda ningefanya juhudi za kuwasaidia wakiwa mikononi mwa mama yao, ila mkuu kila mtu anamjua mtu wake...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa mkuu, ila mkuu usiniombee/usinisemee mbaya kiasi hiki, hujui ni kwa jinsi gani hii kitu iliniumiza, nilifanya juhudi Zote kumrudisha mwenzangu ila ikashindikana, na kama umenisoma vzuri mwenzangu alikuwa hanipi nafasi ya kutosha kuongea naye baada ya kuwa ameondoka maana nikiongea naye...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Duuu. naona thread imegeuka kuwa uwanja wa mtifuano, naomba nilale kidogo wakuu nimechoka sana leo kwenye mihangaiko ya kuwatafutia watoto ugali (mnajua tena mimi ndo baba ndo mama kwa sasa), usiku mwema wakuu.
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sawa Mkuu naheshimu Mawazo yako, je kulikuwa na haja gani yeye kuuza vitu vyangu kama alikuwa ameamua kuachana na mimi kwa sababu ulizozitoa. Hivi unaweza ukawa unamdharau mtu kwa hali yake au kwa hali ya kwao huku ukawa anafanya bidii ya kumsaidia Kutoka Kwenye ile hali au kumsaidia wakao...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Asante sana Mkuu kwa Ushauri, ni kweli maisha Lazima yaendelee.
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Sijisifu Mkuu ila kwa kiasi maisha yalikuwa Kwenye mstari,
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Inawezekana yangetokea tu, who knows. Mkuu nilimuomba mwenzangu msamaha mbele ya mama yake, yakawa yameisha. Sasa sijui hapa nilitakiwa nifanye nini. Na kama alishaamua aachane na mimi sababu ya kuchepuka, angefungasha tu kilicho vhake Vya kwangu akaniachia Mkuu au?
Back
Top Bottom