Hiyo si kauli yangu mimi ni kauli ya CAG! CAG anasema zinaweza kuwa za umma ukitazama kwa mtazamo wa kuwepo kwa kodi, lakini pia zinaweza kuwa za TANESCO au za IPTL.
Lakini mkuu huyo CAG aliyesoma hizo mambo za uhasibu mbona hakusema kuwa fedha za escrow ni mali ya umma, alichokisema ni kuwa sehemu ya fedha zinaweza kuwa za TANESCO au za IPTL. Hii conclusion waliyokuja nayo PAC wameitoa wapi wao?
Unajihadaa mwenyewe! kwani kipi kinashindikana. " Mkataba wa ufuaji umeme urejewe upya ili kuweza kuingiza commitment ya kampuni ya PAP kulingana na hukumu ya mahakama kuu ya Tanzania" inasomeka sehemu ya ripoti ya CAG. Hukumu ya Jaji Utamwa inaitaka kampuni kupanua uzalishaji na kupunguza bei...
Siku zote hicho ndicho Kafulila anacho pigania, fedha za escrow walipwe SCB-HK. Ila kuna vilaza humu wasiojua kuunga Dots hawalioni, wala hawatokuja kuona hili.
Acha matusi, nani anatumika sasa, kwahiyo mtu akiwa na mtazamo tofauti na wako anatumika?
Mkuu st. Kayumba kweli noma, nimepata shida sana kukuelewa :smile-big:. Sasa wewe inakuhusu nini kama kagawa mipesa kama njugu? Pesa za Rugemarila, kama kagawa sizakwake.
Wezi wamehukumiwa na mahakama ipi? Ripoti ishasomwa bungeni mkuu? Ndio mapendekezo ya PAC hayo au? :smile-big: kumbe porojo tu. Chanzo cha hizo habari mkuu na mimi ni habarike.
Tuesday, 18 November 2014
RIPOTI IPTL KULIGAWA BUNGE :- KAMATI YA ZITTO KABWE YATUHUMIWA KWA RUSHWA. WAKILI MSANDO NA MALIMA WALITUMIWA NA KAMATI KUOMBA RUSHWA.
wakili Albert Msando kulia anayedaiwa kutumika kuchukua RUSHWA IPTL kwa niaba ya kamati ya PAC akiwa Zitto Kabwe ambaye ni...
Hizi kelele zinafanya wawekezaji kama IPTL washinde kufanya kazi katika mazingira tulivu na yenye kuleta ufanisi, hawa jamaa wanamikakati mizuri ya kupunguza tatizo la umeme katika nchi yetu kwa kuanza na kubadirisha mitambo yao hadi kutumia gesi na kuongeza uzalishai kutoka Mw 100 mpaka Mw 500.
SAKATA LA IPTL: Zitto Kabwe hajaelewa kilichotokea
KATIKA makala yake IPTL ni ufisadi, wahusika wawajibishwe, Zitto Kabwe , (Mbunge) amefanya uchambuzi wa mgogoro wa Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kufanya hitimisho kwamba toka mwanzo mpaka mwisho ufisadi mkubwa ulikuwa unaendelea...
SAKATA LA IPTL: Zitto Kabwe hajaelewa kilichotokea
KATIKA makala yake IPTL ni ufisadi, wahusika wawajibishwe, Zitto Kabwe , (Mbunge) amefanya uchambuzi wa mgogoro wa Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kufanya hitimisho kwamba toka mwanzo mpaka mwisho ufisadi mkubwa ulikuwa unaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.