Recent content by Not_James_bond

  1. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Nini kimelikumba Jeshi letu? Imekuwaje linatumika kwa ajili ya kampeni za CCM?

    Hawajachukua moja tu,kuna picha zipo utaona MTH-107,MTH-108 na MTH-520 ukijaribu kureserch flight kwa hizo registration hazipo sehem yoyote,kitu pekee utachopata ni chopa iliokua mwanza siku ya kampeni T7-TRXI.
  2. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Natumia pia na alieleta mada ni mimi.
  3. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    sio lazima uwe mjuaji wa kila kitu,vitu vingine kama hujui uwe unaacha vinapita,shida kubwa ni udandiaji na ujuaji mwingi😄
  4. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    feedback sio lazima iwe positive ata negative feedback ni feedback ndo inayosaidia kuboresha vitu,sio kama mtu ataichukulia kama constructive feedback its well and good otherwise ni shida yake.
  5. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Login and security ina features nne,inayolist device kama unavosema haipo
  6. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Kaitafute popote ukiikuta then uje useme
  7. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    now tunaelewana mm my point sio hiyo kwenye kureport kwenye vyombo vya usalama au popote,mm i was suggesting watengeneza app wampe mtumiaji uwezo wa kulogout all active devices bila process nyingi kama unavoweza kufanya hata kwa whatsapp,maana wezi wengine wanaweza tu kuwa wanafanya kujaribu...
  8. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Inapatikana sehem gan? Maana binafsi sijaweza kuiona hio option
  9. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Kuna sehem kwenye app unaweza kuona ni device ngapi zipolinked na app?
  10. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Mimi nakubaliana na wewe na umeeleza vizuri kuwa mtu still atakua na access ya app sasa imagine mtu akawa anajaribu kulogin kwenye app kwa password ambayo tayari umeshaibadilisha ni nin kitatokea kwenye account yako?
  11. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    What if muhusika akaendelea kua na account yako akawa anaendelea kuattempt kulogin kwa password ya zawani,one of the security measure ni account kufungiwa ,now ntafanyaje ili huyo user mwingine aweze kutoka kwenye hiyo account?
  12. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Kama hujaweza kuona sababu hapo then wewe hii post haikuhusu,na sio kwa ajili yako
  13. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Lengo langu nimelianisha hapo mwishoni vizuri sana,ukiona hujaelewa then ujue your not familier with the matter au sio intended audiance.
  14. Not_James_bond

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Uzembe ndo unasababisha security features, ziwepo kama wewe huziihitaji na huzitumii kuna wengine wanazihitaji
Back
Top Bottom