Mimi nadhani lengo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni kulitoa jiji pale lilipo na kuwa jiji la mfano. Na ili afanikiwe wenye nia njema kama yake wamuunge mkono kwa kutekeleza maagizo atakayoyatoa na kujiandaa kupambana kwa hoja na wale wanaokumbatia mabaya yanayotaka kuondoshwa ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.