Siasa zetu zinapitia changamoto kwa mtazamo wangu naona upinzani unaelekea kuimarika. Usiombe kukutana na nguruwe alijeruhiwa hivyo ndivyo itakavyo kuwa kwa upinzani miaka michache ijayo.
Naona kutakua na standard za watu mashuhuri katika chama amabazo sasa hawana na wameshashuhudia madhara yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.