MM, nimependa mahojiano yako na mheshimiwa Marmo, umemuuliza maswali magumu japokuwa alikuwa anatoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Tunahitaji watu wa aina yako, maana nilikuwa natatizika wakati mheshimiwa rais akiwa anaongea na waandishi, hayo maswali wanayouliza huwa naamua kuzima tv.
Achana nae before worse comes to worse.
Tafuta dada mwenye umri mkubwa kidogo.
Age matters a lot. You people like the young ones, lakini matatizo yake ni kama hayo.
Go for someone aneweza kuvumiliana kwa matatizo ambayo ni ya kawaida katika ndoa. Pole sana lakini better run away before it's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.