Huo ndio ukweli japo wengi wetu hatupendi hili. Ila visasi sio njia sahihi ya kuleta maendeleo. Ni vizuri kuamini ya kwamba sio lazima kila mtu akukubali kimtazamo au kimawazo au wewe kama mtu binafsi na bado mkabakia kuishi kama marafiki.
Huu uzi wa kitoto sana. Halafu naona wana JF humu nao wamevutika kwa mjadala usio na tija. Mi natoka Lindi tuanze basi mjadala kati ya lindi na singida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.