Habarini wana jamvi,
Ninachukua nafasi hii ya kipee kuishukuru Jf hasa hasa jukwaa hili la MMU kwakua msaada mkubwa sana kwangu pindi ninapofikwa na magumu maishani kwani hua ninakuja huku kusoma threads mbalimbali ambazo hunipa mafunzo maishani na pia ninajiona siko peke yangu humu duniani...
Mi nadhani kuliko kumdiscus zari na diamond its better kudiscuss hii show ya Zari inatunufaishaje kama taifa....kuna kodi yoyote ambayo Zari atatozwa kwa mamillion aliyoingiza akiwa katika taifa letu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.