Recent content by nondo kilimanjaro

  1. nondo kilimanjaro

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Kuhusu ARV pia ninaona wagonjwa wa homa ya ini wanapewa, wanasema kwa sababu nao wana virus HCV or HBV, sasa wakamwambia mgonjwa asubiri virus (viral load iwe zaidi ya 1000 , ila jamaa akanifuata akaniambia hilo swala mwaka jana ila kwa kipindi hicho viral load walivyompima ilikuwa 935, nikampa...
  2. nondo kilimanjaro

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Hofu ni moja ya vitu vinavyoua, cha msingi ile mashine aipake dawa, ila kama umeona damu damu bora uende kwingine ambapo hujaona damu damu, ila mashine ya kunyolea aipake kwanza ile dawa.
  3. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    Kwa mimi nakubaliana nawe kuna kirusi cha HIV ila nimeongeza point vile vile saratani au kansa nayo pia kuna virusi vinasababisha na pia kuna kampuni zinazalisha virusi hivyo kwa ajili ya pia kwenye utatifi.
  4. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    Mkuu kumbuka hata saratani au kansa zingine zinasababishwa na virus, mfano EBV, HPV, Na wengineo wengi na wanatengenezwa na wanauzwa ushahidi ingia kwenye https://abionline.com Vyakula vya GMO genetic modified , baadhi ya hormone kwa wanyama kama kuku ng'ombe wakue upesi na chanjo,
  5. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    True mara zote mwenye uvimbe (Tumor) huwa kuna microbes ndio maana ukitumbua unachochea, hapo kinachotakiwa ni kumbadilishia mgonjwa lishe kwanza, pia kumpatia vitamins na minerals , na b17, Nirudi kwenye ufafanuzi kuna parasite or viruses ambao pia wanasababisha saratani au kansa ambayo...
  6. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    Kuna aina ya saratani ya damu ( Adult T cell leukemia) ambayo pia inasababishwa na virus anayeitwa T lymphotropic virus, sasa nikuulize tukitoa damu ya huyo uwekewe je utaambukizwa au hautaambukizwa?
  7. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    Sio virus huyo tu anasababisha saratani au kansa mwingine ni EBV.
  8. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    Hakuna mgonjwa wa kansa anayenyolewa kipara, ila hizo ni side effect ya chemotherapy Zingine ni hizi CHEMOTHERAPY AND RADIATION THERAPY POISONING & NATURAL REMEDIES SYMPTOMS - Loss of appetite, vomiting, diarrhea, anemia, hair loss, anxiety, insomnia ,pain ,fatigue, mouth ulcers, yeast...
  9. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    HPV ni virus ambaye anaweza sababisha kansa /saratani kwa mfano saratani za kizazi (cervical cancer and ovarian cancer)pia kaposi sarcoma. Jiulize mbinu ya kuponyesha saratani na kumuondoa virus ipi ni sahihi.
  10. nondo kilimanjaro

    Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

    Tocovid ambayo bei ni sh. 130,000/=. ndio nzuri, pia ubadiri mfumo wa ulaji chakula.
  11. nondo kilimanjaro

    My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

    Haya soma hii kwa wanaosubiria mpaka hawa wawatangazie ndio muamini MAREKANI: WANASAYANSI WAFANIKIWA KUONDOA VVU KWA PANYA > Watafiti nchini Marekani wamesema wamefanikiwa kuondoa Virusi Vya Ukimwi kutoka kwenye vinasaba (DNA) vya panya 9 kati ya 23 > Kutokana na mafanikio hayo endapo mamlaka...
  12. nondo kilimanjaro

    My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

    Jamaa wanajua kuwa karibu na media MAREKANI: WANASAYANSI WAFANIKIWA KUONDOA VVU KWA PANYA > Watafiti nchini Marekani wamesema wamefanikiwa kuondoa Virusi Vya Ukimwi kutoka kwenye vinasaba (DNA) vya panya 9 kati ya 23 > Kutokana na mafanikio hayo endapo mamlaka za chakula na dawa...
  13. nondo kilimanjaro

    Ugonjwa wa Kansa je ni hatari kuliko HIV?

    Siku hizi unashambulia wengi
  14. nondo kilimanjaro

    My fiancee who was HIV+ now tested HIV-

    Hiyo sio sawa, ila kuna kipimo ambacho hupima viral load , hata huyu mgonjwa nilimwambia akaangalie kila anavyotumia mchanganyiko maalumu wa diet pamoja na vitamin & mineral bila kutumia madunguri ya kizungu na ndio akaona tofauti hii inavyoenda, ila namsubiria tena kama akienda kupima anipe...
Back
Top Bottom