Recent content by nolasco kibuga

  1. N

    Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    huko mkuranga vip mashamba ya kukodi yanapatikana?na ni shils ngapi kwa eka ahsante
  2. N

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    kwa mukoa kama iringa ni mbegu gani ya nyanya inafaa, kwa wilaya ya mufindi ahsante
  3. N

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    kuna nyanya fulani niliwahi kununua kariakoo, hii nyanya niliambiwa inatoka wilaya ya rushoto.mbegu yake niliambiwa inaitwa [DUMUDUMU] ina asili ya ugumu hivi, ilikuwa inachukua muda mrefu kuharibika. Kama kuna anaeifamu vizuri mbegu hii naomba atufafanulie vizuri ahsante.
  4. N

    Nauza Pikipiki aina Ya SANLG bei nzuri

    shukran mkuu nimekusoma
  5. N

    Nauza Pikipiki aina Ya SANLG bei nzuri

    ahsante,pamoja na usajili kila kitu inaweza kufika kiasi gani,au hiyo 2m ni kila kitu
  6. N

    Nauza Pikipiki aina Ya SANLG bei nzuri

    pikipiki aina ya sanlg mpya ni bei gani kwa wanaofahamu
Back
Top Bottom