Habari wadau,
Kwa kipindi cha miaka ya 2000 tulikuwa tukipewa taarifa mbalimbali juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipundupindu. Na mara nyingi ripoti zilikuwa zikitolewa pindi mvua zinapoanza. Kwa Dar taarifa juu ya milipuko zilikuwa sehemu kama Buguruni na maeneo mengine yaliokidhiri uchafu...
Habari wadau!!!
Nakumbuka kipindi naanza kumiliki simu ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo nilipata kadili nilipokuwa Secondary School na kufanikiwa kununua ka nokia changu.
Kusema kweli kipindi hicho nilikuwa nikipata ufahari pindi mtu akinipigia maana mnakumbuka ukoo mzima unaweza...
Je unabiashara ya Hotel, Restaurant au Pub ndani ya Dar Es Salaam?
Tunakujuza habari njema ya uuzaji na usambazaji wa kuku wa kienyeji katika biashara yako(free delivery).
Kuku hao wanatoka ukanda wa Tabora, Singida na Dodoma.
Tunapenda kuwahakikishia kua kuku ni wa kienyeji na hawajafanyiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.