Recent content by NoFvcknName

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaaada kuhusu Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science

    Interview za Tutorial Assistant kada ya Computer Science. Kwa anayejua au kumbuka maswali yanayoulizwa (written/oral) naomba aweke nondo humu, tafadhali.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Nshakoma na hawa jamaa aisee, mzigo uwe mkubwa au mdogo, sitawatumia tena
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Pole Sana ndugu, hawa jamaa wanajivuta Sana, na sidhan Kama ni rafiki Kwa mizigo midogo. Ila pia nilishawahi tumia USPS (shirika la posta la marekani) gharama ni za kawaida sana, na mizigo inakuja mpaka pale posta Dar, kama ni ushuru utamaliza pale, na mara nyingi mizigo midogo hulipi hata...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Asante sana Kwa michango yenu wadau, mana nilishawahi tumia huduma za DHL, aisee hawa jamaa wako very professional na on time, na gharama nafuu(at least Kwa mizigo nilio agizaga) hawakua na Kona Kona nyingi kama hawa FedEx, clearance charges zao nafuu sana(mbali na customs fee) na wanafanya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili kufanya mchakato wa kufanya clearance, lakini bado wanataka Pesa nyingine 118000(Kwa ajil ya kufanya...
Back
Top Bottom