Recent content by Noelly

  1. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    Kutokana na kilimo cha drip udongo wote unafaa ili mradi udongo uwe rutuba. Kwa drip akuna udongo unao kataa zao. Ila kwa flood irrigation mfinyanzi ni ngumu kulima zao kama vitungu kutokana na unyeshaji wake karibu.
  2. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    ... Kilimo cha kisasa. Nimelima kiasi kidogo. Maindi nilioingiza hapo ni mbegu 1300. na uakika wakujaza kirikuu kabisa na ww pia unaweza usiogope. Tunafunga drip popote ulipo tupo karibu na ww uwe mkulima.[emoji122] [emoji122] [emoji122] .
  3. Noelly

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Water Pump Used

    . Hii pia ni powerd nzr naitumia nina muda nayo sasa japo nina ya kijapani Honda. Ila hiyo pia ni nzr napo itumia ni seemu pana mlima na ina fanyakazi vzr. Ukiwa unaitaji,bei laki nne Arusha.
  4. Noelly

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Water Pump Used

    Usikarili tuu hiyo ya aina moja mkuu.
  5. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124]usisite site . [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] twende kisasa mambo taratibu tuu.mpaka viazi vinawezekana umeshaona ww, mambo ni drip akuna kukesha shambani na maji lisaa limoja na nusu.unasubiri nn ulipo tupo kwa kukufanyia...
  6. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    Sija pima mm, lakini kwa rafu. Rola tatu kwa singo. Na rola tano mpaka nne na nusu kwa dubble. Kuna rola mita 350 mpaka 400 Na mita 1500. Kwaiyo hiyo bei ya kwanza unazidisha mara mita 1000. Na bei ya pili unazidisha mara mita 1500. Utapata bei zake. Ila sijakupa full complite ya set nzima. Ili...
  7. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    . Hata ww unaweza tena zaidi. Tubadilishe Tanzania yetu na ss binafsi tuondokane na ufukara. Karibu kilimo cha kisasa ukitaka kufanyiwa miundo mbinu tupo kwa kazi hiyo karibu sana.
  8. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    Naomba swali kwenye eneo unaloitaji kujua kuusu hiki kilimo.
  9. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    A. ... B. . Faida nyingine amabayo uwa kwa matumizi ya drip wakati mmea umepungukiwa na madini. Ukigundua tatizo uwa unalishuulikia papo hapo. Tofauti na flad irrigation. Unaweza ona hiz picha a na b. B. Ni mea ulio pungukiwa na madini aina natrogen ila baada yakujua hivyo nikawai week moja...
  10. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    . Ni drp irrigation kwa matumizi ya uwakika. Pale ulipo na una changa moto kwenye aina ya umwagiliaji ulio uzoea. Tuite tuje kubadilisha mfumo wako kwa bei nafuu, na aswaa utafurai [emoji813][emoji813][emoji813], kwakilimo hchi karibu. Tupo Arusha popote ulipo twafika kwa kazi asanthe.
  11. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    kwa eka inakost milion tatu na nusu mpaka nne fully complite hiyo ni rafu Mkuu. ila baada ya shamba kukaguliwa na kupimwa ndipo utapata ualisia wake. karibu.
  12. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    . Kama vile unaweza kushanga ni mwendo usio taka bugza taratibu. ni drip yaani kwenye zao kama nyanya hivi ndio umefika hapo. sio lazima eneo kuuubwa unaweza jaribu ata robo eka, ulinganishe paformunce yake ilivyo tofauti na flood irrigetion. ukiitaji drip installetion utaingia in box tupeane...
  13. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    space mkuu ni 50. tuta lina cm 100 unagawanya kwa mbili unapata 50. na open place ni 50.
  14. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    Hizo sio kamaba kaka. zinaitwa Drip pipe.ndizo zinazo toa maji kwenye main line pvc yako au main line yako na kusambaza kwenye mazao shambani. Karibu. Tupo Arusha ndugu.
  15. Noelly

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha kisasa twende pamoja nikujuze mengi kuusu hii technology..

    ... Drip nijibu linalo kubalika kwa aslimia 75 Duniani na watu wanafanikiwa kwa kiwango kikubwa kuliko flood irrejetion tuliokuwa tumezoe. na Drip imekuwa the best kwenye vipindi vya kiangazi uwa ina paform vzr sana, wala utawaza kuusu kunyesha kama mara nyingi tulivyo zoe. Karibu tupo kwa...
Back
Top Bottom