kaka weka majina jamvini.tuwashughulikie mara moja.Hao ndiyo wanao haribu nchi.weka majina kijana,kuendelea kuongea ni kama kupiga majungu.Hii ni serious ishuuuu si politics
Tulisifu jina la yesu na kulitukuza.Usiwasahau wengine wenye shida kama wewe ulivyokuwa hapo nyuma.Ndiyo shukrani pekee kwa yeye muweza wa yote.:frusty:
Jamani chuo kipo.Mimi nilikuwa na mashaka nikaamua kwenda hadi kimala mwisho unafuata barabara ya bonyoka mita 200 utaona ghorofa yao.Na huyo Dr nimekutana nae hapo.Tuache kutamka maneno ya kumchafua mtu kabla hatujawa na uhakika.:A S 39:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.