Recent content by NOD

  1. N

    JamiiForums Tanzania Daraja la Magufuli ni moja ya White Elephant Project kubwa sana katika nchi hii. Daraja litakuwa la kupigia picha na kurekodi Movie

    Kujifanya uko smart kumbe boga. Ungefanya analysis kidogo ya numbers na multiplying effect, muda unaopotea na hata kufikiria stimulated demand.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kitendo cha Lazaro Mambosasa kuwa Msemaji wa Kanisa la Katoliki Makongo Juu

    Wewe kweli nyumbu. 🤣🤣ungefurahi kuwa huyu mdhambi kaongoka pamoja na mimi kutokujua ukamirifu wako wewe kwa Mungu. Nini maana ya toba kwa dini za imani zote duniani? Unaleta siasa hata kwenye mahusiano ya mtu na Mungu wake. Toba ni haki ya kila binadamu iliyowekwa na Mwenyezi Mungu bila...
  3. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Mwenza wa Urais CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi wowote ndani na Nje ya CCM, ni Mzigo mzito kumnadi

    Inaonekana humjui Nchimbi. Uliyemuelezea sio Nchimbi ni mtu mwingine. Nchimbi naemjua ni smart sana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uteuzi & Kumpangia Balozi kituo cha kazi: Stephen Simbachawene apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil

    Hatuna ubaloxi Congo Brazzaville.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Uteuzi & Kumpangia Balozi kituo cha kazi: Stephen Simbachawene apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil

    Mtambo wa uongo😂😂😂Mtoto wa Msekwa ni balozi mdogo ofisi yetu ya Lubumbashi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uteuzi & Kumpangia Balozi kituo cha kazi: Stephen Simbachawene apangiwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil

    Acha uongo. Balozi wa Tanzania nchini Kongo ni Said Mshana, Mpare pure!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Soko la ndani tu nimehesabu vituo 15 na nje ya nchi 12. Hivyo ni pamoja na hofu ya kukamatwa ndege
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Acha comedy 😂😂😂 hayo unayosema hayana ukweli hata punje. Labda DRC ndio kuna vituko hivyo. Hapa kwetu hakuna huo usanii. Ndio maana tunakwenda nchi za nje. Haina maana hatuna mapungufu katika utoaji wa huduma kama kuchelewesha ndege
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Nimecheka kufa. Wewe hujui ndege inaendeshwa vipi. Ndege haindoki kama haina mafuta ya kutosha kufika aendako na akiba ya dharura kwenda uwanja wa dharura. Hakuna rubani mjinga hivyo maana ndege haina break huko angani
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?

    Jibu swali alilouliza. :cool:
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Vizuri sana theorist!:D:D Ebu share na sisi financial statements za Precision tuone kuwa operating cost ni sawa na revenue. Hapo nita withdraw statement yangu otherwise it stands.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Huna uelewa wa soko la usafiri wa anga. Angalia financial statements za Precision.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Sioni logic kwenye maswali yako na swali ulilouliza mwanzo. Essence ya low cost carrier kama fastjet alivyokuwa akijinasibu ni volume ya passengers na management ya operating cost!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Wingi wa viwanja vya ndege sio wingi wa abiria. Fastjet hakwenda nje ya Dar, Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Tusaidie lujua private airline inayopata faida Afrika. Anza na Precision.
Back
Top Bottom