Habari ndugu, jamaa na marafiki..
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza samani ( Furniture) zote za majumbani kama vile Vitanda, Milango, Kabati, Sofa, Meza za kawaida (Coffee table), Meza za chakula (Dinning table), Meza za Tv (Tv showcase) na samani...