Recent content by No Doubt

  1. No Doubt

    Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

    Anachomaanisha mtoa mada ni kwamba faida itakayobaki ,means kodi mshalipa linabaki gawio tu sasa.
  2. No Doubt

    Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

    Sasahivi anaishi kwenye ghorofa bhana
  3. No Doubt

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Nalijua hilo mkuu,japo dogo hajasom ila ni kichwa..
  4. No Doubt

    Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

    Utapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. No Doubt

    Ubishi kuhusu share za Wasafi Media naona umeisha sasa

    Tunasubir ya Wasafi fm na Diamond karanga..
  6. No Doubt

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Tumebakiza kwenye wasafi fm na Diamond karanga.
  7. No Doubt

    Wasafi festival imefanikiwa asilimia 99

    Sorry,,hata waki drop si mbaya
  8. No Doubt

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Sasa mbona wameingia mitini jamani..daah!!! Au wameingia kwenye ibada ya jioni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]still waiting..(korosho zako ziko tayari mkuu,zimeshabanguliwa kabisakabisa..hahhaa)..
  9. No Doubt

    Wasafi festival imefanikiwa asilimia 99

    Watakuwa tayari wameshapiga hela za kutosha,hata waki bankrupt si mbaya saaana..
  10. No Doubt

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Ijia kilo mbili zako za korosho tutakazo gawiwa tuanze kutafuna zetu mapema tukiangalia mraruano wa hoja..
  11. No Doubt

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Mjadala uanze upyaaaaaaaaaa( in mbunge bwege voice)..
  12. No Doubt

    Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

    Ni porojo tu,,Hivi utumie brand yangu unipe 2%?inakuja kweli?? Hamuwezi kuwa siriaz bhana..
  13. No Doubt

    Ali Kiba pole sana, bifu ya WCB na Clouds imekumeza

    Ali K anakinukisha mbaya hapa kahama..Noooma sana..
  14. No Doubt

    Nani Anawadharau WCB?

    Kumbe wewe ni kiazi kiasi hiki??..[emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom