Wasafi festival imefanikiwa asilimia 99

Wakianguka Clouds, na WCB wakiwa kwenye peak wabongo wataanza fitina na majungu idondoke WCB waje wengine daah aisee hakuna kazi rahisi kama kutambua unafiki wa wabongo
 
Sisi wabongo wengi hatuamini kwenye kuwa na viwili au zaidi, huwa tunataka awe mmoja azidi kutawala. Sijui haya mambo ni duniani kote au watz tu.

N;B. Ilaa hawa WCB wamepindua shilingi kwakweli.
 
Ukweli ndo huo
 
Kwanini na clouds wasijiunge huko
Clouds wamefanya hii kitu miaka almost 20...utafananishaje...wakaze miaka kumi ndio waongee..na miaka michache ijayo Diamond atakuwa amekwisha nimeona Jana sio yule wa miaka minne iliyopita...
 
Back
Top Bottom