Recent content by Nnangale

  1. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

    Wameshatajwa na ni janga la taifa ukiangalia, na ukiwasikiliza wanakatisha tamaa.
  2. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

    Hata haueleweki, huyo mwigulu alijiteua?
  3. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi mojawapo ya Afrika mashariki anakopa sana

    Kukopa ni sifa:unakubalika kwa wakopeshaji.yule bwana alikuwa balaa angesababisha na njiwa wengine wavue chulu.tukaona tulivyoona.
  4. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Jesusie hapo Kati kuna neno (mbali) uwe unaelewa.kwa ujumla nchi umerudi kwenye mazoea yake.uzembe,rushwa,wizi nk.
  5. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Wale machinga na vimikopo vyao baada ya kufukuzwa Barabara bila maandalizi waulize hali zao leo.
  6. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Kauli hii alimtolea akiwa kwake chato; ndiyo ujue manji alichofanyiwa ndicho alicho stahili Kama ni kweli.
  7. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Eti wazungu ndio wanajua rushwa imepungua tz,waulize wazungu kwa Nini walimuua Lumumba,kabral na mondlane,sisi tuliopo nangunde huku tusione huo unafuu.
  8. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Kwa nini? Na maendeleo ya tekinolojia tuliyofikia.
  9. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aeleza alivyovumilia mashambulizi, ajifananisha na Kocha Mourinho sakata la kukatika kwa umeme

    Kushambulia ni aina nyingine ya kutoa maono,aelewe wananchi wanachotaka.
  10. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dar, litokee hili, fikiria itakuwaje ?

    Bemendazole hivi Japan Ina km ngapi za eneo na watu elfu ngapi kuhalalisha uhuni wa viongozi kiasi hiki.
  11. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Sengerema wapata mitungi ya gesi 80 kutoka kwa Waziri January Makamba

    Je mama atakuwa na kazi gani?
  12. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Bila kujali bei? wafanyabiashara leo wapanga bei wao kwa kuangalia faida wanayotaka.
  13. Nnangale

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hayati Mkapa ndiye bingwa wa Uchumi. Mifumo aliyoasisi ndio inayotumika sasa

    Countrywide achana na wenye chuki za kukodisha,na leo pamoja na vigeregere tuko uchumi wa chini kabisa.
Back
Top Bottom