Recent content by NKWENYE

  1. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Katambi: Serikali haiteki, haipotezi mtu. Serikali ina wajibu wa kusimamia haki

    hivi moderators nauliza , mada inayoudhi na kuumiza kiasi hiki nawezaje kutoiana ninapoingia JF? maana unajikuta umepambana mood ya siku imekaa vizuri halafu jiooooni unakutana na kitu kama hii
  2. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

    Na ni ajabu nchi ambayo ina makabila zaidi ya 100 unakuta kuna kabila linazalisha VILAZA kama wewe.
  3. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Boni Yai: Niliingizwa kwenye difenda nikiwa na ‘boksa’ tu

    Mpaka mbowe aje azae nyumbani kwenu ndo utamheshimu
  4. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    NA NDIYO MIKOA PIA YENYE UMASKINI NA MIUNDOMBINU MIBOVU KULIKO YOTE NCHINI. NI VYEMA MUWAKUMBUSHE NA HILO. MTAJI WA CCM NI KWENYE MIKOA YENYE MATATIZO YA ELIMU NA UCHUMI
  5. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    Kwani amekuomba msaada? Alafu maendeleo mkaiombe CCM na mama yenu. Unataka lissu ukuelezee atakavyokuletea maendeleo wakati huna akili utaelewaje sasa
  6. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Maskini wengi kwenye nchi hii ni wanachama lialia wa CCM. Kwa utafiti wangu mdogo, vijana, wazee, wote ambao ni wanachama kindakindaki wa upinzani hasa chadema wengi ni wapambanaji wa uchumi wao. Wengi wameshajenga akili kuwa ukiwa mpinzani nchi hii unakuwa km yatima hivyo usipopigana vita ya...
  7. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Jibu ni rahisi tu. Tafuta vyama vingine vya upinzani ambavyo vimebadilisha wenyeviti wao kifala bila kuchukua tahadhari ya athari za ccm juu yao kama vipo hai. Hebu imagine km mwenyekiti wa chadema angekuwa lipumba, jaribu kuwaza km mwenyekiti wa chadema angekuwa zitto, jaribu kuwaza km...
  8. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Mtoa mada umeandika kuhusu nguvu na uwezo wa Heche ambao kiuhalisia uko sawa km ulivyosema. Ila kuhusisha uwezo wake na kufa kwa chadema huo ni uongo. Toa takwimu zinazoonesha kuwa chadema inakufa au imekufa. Vinginevyo ni upigaji ramli chonganishi
  9. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Kama hujui kitu uliza huko nje then ukikosa majibu uliza kwa watu wenye akili timamu km humu. Kama hujafanya utafiti na umekimbiza humu unakuwa km nape nnauye tu. Kwa kadri ya uelewa wangu, jamii ya kikurya hu-share baadhi ya majina (kwa wanawake na wanaume). Hii huletwa na sbb nyingi za...
  10. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitaka kukata "Chain" ya JK akaondoka Mama 2025 Ataweza?

    Ni mtu punguani pekee anaweza kuwaza haya. Jiulize machache kwenye mada yako alafu utajua upunguani ulipo. Magufuli alikufa kwa sbb gani, mbili, magufuli km aliuawa km mnavosema wengi, je samiah anahusika? Tatu. Hiyo chain ya kikwete una uhakika ipo na inafanya kazi CURRENTLY?, NNE, kama chain...
  11. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

    Una athari tatu zinakusumbua. Moja: elimu inayotolewa na CCM.( huu ni mkakati wa vyama visivyotaka kuachia dola, na vimevuna ng'ombe nyingi tu km wewe). mbili ni mazingira uliyokulia... Wengi mmetoka kujitawazia magunzi ya mahindi hivyo siasa mmezikuta WASHROOM ( siyo rahisi muelewe), tatu ni...
  12. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

    Ujinga ni kupinga ukweli. Nyamagana na ilemela inakaliwa mostly na watu wa mikoa mingine. Huu ni utafiti umefanyika acha usukuma dada
  13. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

    Misungwi na Magu itoe. Kuna wasukuma hizo wilaya ni viazi toka dunia iumbwe haijawahi tokea 😄😄
  14. NKWENYE

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, nchi inahitaji maombi kuliko wakati wowote ule

    Amekanusha mwenyewe
Back
Top Bottom