Recent content by nkwasangare

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sitta ahoji harambee za Lowassa Makanisani na sasa misikitini

    Tunapenda kumpongeza waziri mkuu aliyejiuzulu kwa manufaa ya umma baada ya kushindwa kuelezea jinsi mikataba ya Richmond walivyoisaini kwa moyo wake alioupata baada ya kujiuzulu kusaidia taasisi mbalimbali kwa harambee akishirikiana na marafiki zake kwa ajili ya hizo asasi .Mungu amzidishie huo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Kikwete wadhihirika Bukoba kuhusu ugomvi wa Meya vs Mbunge

    Usiwe shabiki usiyekuwa na data bukoba mjini kuna mpasuko mkubwa na hii cdm tunawapa pole.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete unaogopa nini kuunda tume kama serikali yako haihusiki?

    jamani tuwe na uchungu na damu zinazomwagika bila hatia yeyote.rais wa nchi unatakiwa utoe maamuzi mazito juu ya haya majanga ndani ya nchi yako nje na hapo unailetea nchi laana ambayo hatukuitegemea.mbona kagame alivyotisha kidogo tu unaanza kuweweseka je hizi damu za watanzania wenzako huna...
Back
Top Bottom