Wakuu habarini za wakati huu natumahi muu wazima wa Afya me upande wangu me ni mzima kabisa..
Moja kwa moja naomba mnipe ushauri nina mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ila wamempangia combination ambayo hajaipenda ya arts ambapo yeye alisoma sayansi na matokeo yake alipata div 3...
Alafu juzi kati kuna jambo limenichanganya kidogo.Mimi nimepanga sehemu frem ya biashara lkn cha kushangaza wamechukua information zangu kama mpangaji na kujaza kwenye system, But nkawauliza endapo nikahama au nikaacha kabisa biashara inakuwaje mwenyewe hakua na majibu ya kueleweka alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.