Kesi si tatizo, ziliwahi kuwapo, zipo na zitakuwepo huku maelfu kwa maelfu wakifungwa na hivyo Mbowe ni binadamu kama hao Wala si Malaika, naye kufungwa si Jambo la ajabu lakini tuyatafakari haya;
Tanzania kama sehemu ya Afrika, imekuwa katika nafasi ya juu Sana kwa masuala ya kufuata haki za...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Imekuwa kawaida kwa mataifa ya Afrika kuongozwa na Chama kimoja mfululizo huku chaguzi zikifanyika kuwahalalishia watawala mipango yao ya kudumu madarakani na kuachiana ndani ya Chama chao kama wanavyotaka.
Mambo haya yamekuwa yakilelewa na jamii yenyewe kupitia...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Maisha ya Mwanadamu yamesimama katika misingi ya Sheria ambazo zinakuwa kama kanuni ya matendo na kauli za kila mwanajamii wa jamii husika.
Sheria ndiyo huweka misingi ya jinsi gani watu wa jamii husika waishi, ikiwa Sheria zitakuwa mbaya basi watu wa jamii hiyo...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
Utawala bora unaoheshimu haki, Uhuru wa wote, haki sawa na furaha kwa wote hutokana na siasa safi inayosimamiwa na jamii chini ya mifumo Safi ya kisheria kupitia katiba iliyoandaliwa kwa ushiriki wa jamii husika.
Ni wazi kuwa kila binadamu anatamani kuiona jamii...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.
KATIKA Namna zote za kutafuta suluhu ya changamoto za watu, maridhiano na amani, mbinu iliyofeli ni Vita/ matumizi ya nguvu na ubabe.
Wengi huamini hili pindi wawapo katika jamii halisi lakini waingiapo katika fursa za uongozi hasa wa kisiasa huipoteza imani hii hasa...
Na Nkuruma wa Karne ya 21.;[emoji3578]
Oooh Chanjo hii inafaa Sana, Ni muhimu Sana, ooh ni hiari kuvhanjwa, ooh hapana Chanjo iwe lazima, jamani haifai inamadhara; kauli lukuki zinapita katika masikio ya watanzania, Waafrika na Wanadam wote kote duniani.
Kukosoa ama kupigia debe Chanjo hizi si...
MHIMILI MMOJA KATI YA MITATU UKIWA DHAIFU MZIGO NI KWA WANYONGE.
Na Nkurumah wa Karne ya 21.
Mkichagua hovyo hovyo mtapata viongozi wa hovyo hovyo, watawaongoza hovyo hovyo, mtaishi hovyo hovyo na mtalia hovyohovyo; Bali mkichagua vizuri, mtapata viongozi wazuri, watawaongoza vizuri, mtaishi...
TUENZI YA WAASISI WETU KWA USTAWI WA JAMII ZETU.
Na Nkurumah wa Karne ya 21.
Ni hudhuni, ni majonzi, ni machozi na taharuki kubwa kwa kijana, mwana wa Afrika Mwenye uzalendo na fikra chanya kwa jamii yake, hakika Kesho haitabiriki.
Wazee wetu waliifia nchi, Uhuru wakiutafuta, babu zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.