Recent content by NKOTA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ugaidi wa CHADEMA watoka wasimulia walivyolazimishwa kusema

    Kamanda hapa igunga hapakuwa na chombo cha habari chochote. Isipokuwa tanzania daima na maelezo yaliyotolewa na gazeti hili ndivyo yalivyo na pia kuna mambo mengine mazito yaliyoachwa mbali na haya namsihi mwandishi ayatupie ili ukweli ujulikane
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Magufuli juu ya utekelezaji wa miradi ya barabara na takwimu zake unaashiria nini?

    Wana JF, Mtakumbuka kuwa waziri wa ujenzi Bw. Magufuli alikuwa na mbwembwe kweli na majigambo ya kutoa takwimu za ujenzi wa miradi ya barabara tanzania katika mikutano na vyombo vya habari, lakini saivi amekuwa kimya. Je, wewe unafikiri ni kwa nini au miradi imekamilika na hana pa kusemea...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu nchemba safari za china na mikakati ya kukipa chadema umaarufu

    Wana jf
  4. N

    JamiiForums Tanzania Henry Kileo na wenzake wazuiwa kuvaa magwanda na uongozi wa magereza mkoani Tabora

    wana JF Jana nilikuwa mkoani Tabora nilikoenda kumsalimia kamanda Kileo na watuhumiwa wenzake wanaoshtakiwa kwa makosa ya ugaidi ya kummwagia tindikali Musa Tesha kipindi cha uchaguzi mdogo wa ubunge Igunga. Lakini baada ya kuingia na kuonana na kamanda kileo nilipata mshtuko baada ya yeye...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa mzee Juma Farijala kuhusu wanafunzi wa SAUT kujihusisha na Siasa

    kila jicho litaonja maoti kwa upotoshaji kwa vijana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa mzee Juma Farijala kuhusu wanafunzi wa SAUT kujihusisha na Siasa

    Wana jf kwanza nawapa pole kwa majukumu mazito ya ujenzi wa taifa letu linalohitaji ukombozi wa kweli,pamoja na hayo nawapa pole makamanda wote ambao kwa namna moja au nyingine wamepata matatizo hasa katika harakati za ukombozi wa taifa hili kwani sasa ni dhahiri kuwa kuna mapambano baina ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    wana jf kero yangu kubwa katika katiba iliyopita ilikuwa ni suala la mikataba kujadiliwa kienyeji na kutowekwa wazi na nilitaka katiba ijayo iweke utratibu wa moja kwa moja kujadili masuala ya mikataba kama vile:madini,biashara,uhusiano wa kimataifa n.k lakini hawajaweka sina imani kwani lengo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti ccm wilaya tabora mjini (konkota) ashukiwa kubomoa vijiwe vya chadema

    wana jf tangu m4c iliyoznduliwa zz kabwe vijiwe viwili vimebomolewa katika kata za kabila pamoja na kiloleni.mwenyekiti wa ccm wilaya ya tabora mjini bw.konkota analaumiwa na wakazi wengi wa tabora wakidai kuwa yeye ndiye anayekodi vijana na kuwalipa pesa ili kuvibomoa vijiwe vya chadema.na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania CCM-Tabora waanza kujibu mashambulizi ya Zitto

    Wana jf.npo hapa mkoani tabora now tangu jana ccm wameanza kuzunguka katika baadhi ya kata ambazo zitto alifungua matawik.vile kakola walikuwepo jana na leo hii wapo stendi ya zamani pale pale alipotolea zitto hotuba. Inasemekana wafuaao wapo hapa lusinde rage kingwangwala source vot-radio...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    Wana JF, Nimetoka Mahakama ya rufaa kanda ya Tabora, leo ilikuwa siku ya hukumu ya kesi ya ubunge kati ya Kafumu(CCM) na Kashindye(CHADEMA) ambapo kafumu kapewa ubunge wake. Pingamizi katika madai ya mwanzo yalikuwa 18 na mahakama ya rufaa imekiri kuwa yalikuwa ya msingi na viongozi wa CCM...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tabora: Maandalizi yakolea kupokea M4C kuanzia Ijumaa hii

    Makamanda najaribu kupitapita humu mitaani naona kila kona wanazungumzia CHADEMA na ujio wa M4C, wanatabora wanashauku kubwa baada ya kusahaulika kwa muda mrefu, nafikiri yule bingwa wa safari za kimichezo anahaha kweli, maana anaifahamu CHADEMA vilivyo. Mungu ilinde Tabora,wakomboe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Slaa, Zitto, Lissu, Mnyika na wabunge wengine kutikisa Tabora

    Jamvini oyee jumamosi ijayo m4c kanda ya magharibi kufanyika katika mkoa huu wa tabora.maneno hayo yametolewa na mwenyekiti wa mkoa chadema bw.kansa mbarouk alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara ulioandaliwa na wilaya maeneo ya stendi ya zamani hapa tabora.hivyo wote...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 43(1) ya katiba ya JMT mwaka 1977 kuhusu malipo ya raisi

    WANAJAMII F ibara ya 43(1) ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuhusu malipo na posho za raisi anapostaafu kazi inatamka hivi "Raisi atalipwa mshahara na malipo mengineyo,na atakapostaafu atapokea malipo ya uzeeni,kiinua mgongo au posho,kadri itakavyoamuliwa na Bunge,na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe,Amri Shafi wa Mpanda na wabunge wengine kufunika Tabora jumamosi hii

    Ndugu wana jf Wabunge hao watakuwepo Tabora wiki hii kuongea na wananchi wa Tabora. Tuombeeni kila la kheri
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia machafukoni dhidi udikteta wa serikali

    Viongozi wa kiserikali hasa maspika,mawaziri,wabunge,madiwani,wenyeviti wa mitaa na vijiji,wafuasi wa serikali,wateule bungeni na wengine wote mnaofuata mikumbo isiyo na maana mtaipeleka nchi kwenye machafuko ya kidikteta. Mimi kama mwananchi siko tayari kuvumilia uzembe wa serikali ya kutaka...
Back
Top Bottom