Recent content by Nkonyaboy

  1. Nkonyaboy

    Wapi nitapata Tenda za kutengeneza samani (furniture)?

    Ndio mkuu wapi tapata tenda
  2. Nkonyaboy

    Wapi nitapata Tenda za kutengeneza samani (furniture)?

    Jamani, mimi ni mwanafunzi nimehitimu chuo ila naufundi wa furniture nilikuwa nahitaj msaada wa mawazo jinsi gani unaweza pata tenda sehemu mbalimbali mana naona soko ni gum kiasi chake kupitia ABC na uzoefu naweza kuimprove.
  3. Nkonyaboy

    Ulcers ya macho

    Nashukru sana
  4. Nkonyaboy

    Ulcers ya macho

    Kaka angu amekuwa mgonjwa wa ulcers ya macho takribani miez 10 now, ametmuia dawa za kila aina hospital lakini tatizo limezid kuwa baya zaid macho yamepoteza kronea na sas hawez kuona tena na madaktar wameconfirm hivo. Kuna alternative gani naweza solve tatizo la kaka msaada please kwa anaye jua
Back
Top Bottom