Ccm mmejifungia dodoma kufuta vipengele muhimu vya rasimu ya katiba nasema nyinyi ccm tutawaadhibu kama sio ninyi basi watoto wenu.
mmefuta ibara ya maadili ya viongozi ili ufisadi uendelee,mmefuta ibara ya madaraka ya wananchi,mmefuta ibara inayotenganisha madaraka ya bunge na serikali.
Mzee Hassanali anaongeleo kwamba hawa watu wawili mboowe na slaa huwezi kuwapata kwa kuwa hawana bei.sifa nyingine ya kiongozi ni kutonunulika ,kuwa tayari kufa kwa kile unachokiamini.hawa wamefanikiwa kupita katika vizingiti hivyo.
mfano mzuri tumeona kwa mrema na mapesa kwa sababu wanategemea...
CCM mbona mnapenda sana kudanganya watu hasa wanachuo kuwa wanasomeshwa na serikali ya CCM. Hivi kweli CCM mnapesa ya kusomesha watu ,kujenga barabara nk?
Danganyeni haohao mambumbumbu sio kizazi hiki cha leo.pesa yote inatokana na kodi za watanzania wote ,hawa ndio wanaosomesha watu wote...
Tumefurahi sana watoto wa mitaani kubeba kombe la dunia kule brazil.lakini wanananchi na watawala wetu wamejifunza nini ktk hili.
sisi tunafurahi lakini dunia nyingine wanatushangaa kwa kutelekeza watoto mitaani ambao wako footballers,doctors nk.
watawala wetu wanafundishwa how they should...
acha uongo bk 7 yaani wewe na spika nani alikuwa anashuhudia live?.spika alimwabia lisu afute maneno hayo kwa kuwa yanawakera wabunge wenzake.sasa maneno haya mnageuzia kwa waasisi kutaka huruma ya wananchi.
juu hili ccm hamna hoja waacheni wananchi waamue.
Tumeona wataalamu wa kiwango cha uprofesa wanavyo jivika ujinga kwa kutosimamia taaluma yao,mfano shivji.
hivi profesa anaweza kuongea kwa kukiuka alichokisema au kuandika ktk vitabu vyao au majarida .
Tuwaombe maprofesa waadilifu muanze kuwapinga waziwazi hawa maprofesa tumbo ili taaluma hii...
Kaponda kuwa wabunge wako 629 ,yaani maoni yao yawe halali kuliko maoni iliyotumia tume ya warioba ya watu 17,000 waliotaka serikali tatu. Hivi vichekesho sana.
ofisi ya rais,ofisi ya makamu rais ,ofisi ya waziri mkuu walitoa maoni ya serikali tatu ,bungeni wako tofauti.
hivi kwa kuwa vigeugeu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.