Recent content by nkolaniwe

  1. N

    Msaada kuhusu mwenendo wa kesi

    wakuu habari za asubui samahani mstakiwa unaruhusiwa kuongea dukuduku au uonevu wowote juu ya kesi inayoendelea mahakamani mbele ya hakimu anyeendesha kesi husika kabla ya mashahidi kuitwa mahakamani?
  2. N

    Kuna uhusiano gani kati ya kesi na mwendesha mashtaka?

    asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu sasa hapo napata picha.
  3. N

    Kuna uhusiano gani kati ya kesi na mwendesha mashtaka?

    okey asante kwa majibu yako maxuri hute itakuea vyema kama utanisaidia na hili je pp ana.uwezo wakumuondoa mtuhumiwa kwenye shitaka? na je kwa kawaida upelelezi unatakiwa ukamilike ndani yamuda gani baada ya kesi kufika mahskamani? na n hatua gani mtu aliyeingizwa kwenye mkumbo wa kesi...
  4. N

    Kuna uhusiano gani kati ya kesi na mwendesha mashtaka?

    mm namaaninisha haiwezekani hata mwendesha mastaka mwimgine kufanya kazi hiyo badala ya yile wa awali halafu mm nataka nifafanuliwe uhudiano uliopo baina ya kesi na mwendesha mashtaka.
  5. N

    Kuna uhusiano gani kati ya kesi na mwendesha mashtaka?

    hsbari wanajamvi tafadhalini naomba ufafanuzi mwendesha mashtaka pp ana uhusiano gani na kesi naulixa hivi nikiwa na maana hii kesi inaweza kuahirishwa kwa sababu pp hayupo?
  6. N

    Ni kweli bandari inaajiri hata watu wasio na taaluma yoyote?

    nikweli huwa kuna kimiminika ambacho huchanganywa na mafuta ili yasichakachuliwe na si kuibiwa kazi hiyo mtu yeyote anaweza kufanya haiitaji elimu ila kazi hiyo hufanyika ktk depot za mafuta.
  7. N

    Nimeingizwa kwenye kesi isiyonihusu

    ndugu cpt nemo umesomeka ila ni kwamba baada ya kuchukuliwa maelezo na mpelezi aliyepewa jukumu la kufungua jalada ktk maelezo yangu nilionekana kulitaja sana jina la mshtakiwa aliyetakiwa kuletwa kituoni badala yangu kwani mm na yy tulikwa walinzi wa kutumia mbwa shift hiyo ila location tofauti...
  8. N

    Ni njia gani naweza kuitumia kuweka Pingamizi Mahakamani?

    asante ndugu sajo kwa ushauri wako bila shaka upo sahihi.
  9. N

    Viwanja vinauzwa Mbezi Dar es salaam

    Vipo mbezi malamba mawili na kongowe mwisho toangoma bei kuanzia mil 2 na kuendelea ukubwa tofauti havijapimwa unakatiwa kipande chako kulingana na pesa yako.
  10. N

    Ni njia gani naweza kuitumia kuweka Pingamizi Mahakamani?

    duh! tatizo wanasheria wanataka pesa na mm pesa sina hapo ndo mziki.
  11. N

    Ni njia gani naweza kuitumia kuweka Pingamizi Mahakamani?

    Tulisomewa shitaka Mahakamani mimi na wenzangu wanne, ila mimi naona kama sihusiki. Naomba msaada ni namna gani naweza weka Pingamizi katika kesi hiyo?!
  12. N

    Nimeingizwa kwenye kesi isiyonihusu

    kwani huyo tossi aliwafanya nn watu wa mwembe chai?
  13. N

    Nimeingizwa kwenye kesi isiyonihusu

    jina langu kwenye hati ya mashitaka lipo tena n mshitakiwa namba 2 na kesi tayari ishatajwa msaada n namna gani nitaweka pingamizi katika kesi hii mahakamani.
  14. N

    Msaada wa kisheria tafadhali

    ndugu ayayoru mm nimeshtakiwa kwa kosa la jinai ictoshe tupo zaidi ya walinzi 15 katika shifti iliyotokea tukio na waliofunguliwa kesi hiyo n watano mmoja kati alipelekwa kimakosa kwani hakuwa karibu na eneo linalosadikika mali imebwa na kuhusu hili je?
  15. N

    Msaada wa kisheria tafadhali

    wakuu nimewaelewa hasa ndugu el nino lkn swali langu lipo hapa kampuni yangu bado inanitumia kama mfanyakazi je mm ninayo haki kuomba barua ya kusimamishwa kazi?
Back
Top Bottom