Recent content by nkize000

  1. N

    Punguzeni tatizo la ajira kwa kidogo tulichonacho

    🤜🤜 katiba aliyeitunga alikuwa mtu asiye mzalendo. Haya mambo tunayopitia marekani imeyapitia miaka 80 iliyopita. Wana harakati ndo uwa wanasababisha hayo yatokee. Sasa wasanii wa Tz wanamuimbia zuena mpaka leo 😥😥😂😂😂
  2. N

    Punguzeni tatizo la ajira kwa kidogo tulichonacho

    Tanzania bado ni nchi maskini ambao bado tunajitafuta. Na kuna upungufubwa ajira kwa kiasi kikubwa sanaa, hii inatokana kwa sababu serikali bado hawajawa serious katika hili. Nimeandika story of change Lakini nataka leo nitolee namna ambavyo kuna watu wamesoma civil engineering ngazi ya...
  3. N

    Mgomo wa wafanyabiashara nchini

    Kodi za Tanzania ni kama kuteka maji kwenye tenga Unakusanya kodi vizuri tu, mwisho wa siku ripot ya CAG inasema tenga linavuja. Bora kufunga koki tusubiri mkingaji aweke ndoo
  4. N

    Vijana wanaojiunga na UVCCM wakiwa vyuoni badilikeni, acheni uchawa

    Viajana wengi wana mawazo ya CCM iwasaidie sio wao waisaidie CCM, ndio maana unakuta wanajiunga wengi na akibaatika kupata nafasi atapiga hela, yaani hata ngazi za chini wanaiba hata hela ya kadi. Anawaza kuwa nikimaliza nitaajiriwa au connection ya ajira nitaipata kupitia chama. Hana mchango...
  5. N

    SoC04 Inawezekana ajira zikawepo, kwa sababu uhitaji upo wa wafanyakazi. Lakini hamna wanao ajiriwa

    Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali. Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi uzoefu au kuongeza maarifa kwa walichosomea/ taaluma yao. Kwa sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo...
Back
Top Bottom