Recent content by nkikiki

  1. nkikiki

    Mbunge ataka Bunge lisimame kujadili Bajeti lijadili Yanga kuifunga Simba

    Bora mpoki aliita mjengoni😁😁
  2. nkikiki

    Mwigulu unaikumbuka hii kauli yako?

    Hasa Watanzania Kwa sasa wakiongozwa na majaliwa
  3. nkikiki

    Freeman Mbowe aweza kuwa ndio Mwanasiasa bora zaidi Barani Afrika kwa sasa?

    Stress za wazi kabisa hizi! Pathetic
  4. nkikiki

    Jaji Mkuu asipoingilia Kati Jaji Tiganga ataiabisha Mahakama ya Tanzania

    Kabla ya hili Luvanda alishatamka kuwa mashtaka yaliyoletwa na Jamhuri ni batili. Cha ajabu akaagiza yarekebishwe
  5. nkikiki

    Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Umesahau waliopotezwa, kupigwa risasi na watumishi kutopandishwa/kuongezwa mishahara na madaraja.
  6. nkikiki

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Sasa hebu msikie Leo alivyomsifia Maalim Seif!
  7. nkikiki

    Kesi ya Mbowe: Thamani ya ushahidi wa shahidi #4 ni ipi?

    Sasa mbona hawajafunguliwa na kesi ya madawa ya kulevya!?
  8. nkikiki

    Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    Hakuna kitu kibaya Kama kuwaamini watumishi wa chini yako halafu wao wakakudanganya!! Najisikia vibaya Sana kwa Rais wetu kudanganywa na wasaidizi/washauri wake
  9. nkikiki

    Sabaya, haya maneno aliyasema pale Hai mkoani Kilimanjaro

    Ndiyo umeandika Nini Sasa wewe msukule wa burigi?
  10. nkikiki

    Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

    Aache chama kisicholipa Watumishi wa Serikali na kutopandisha madaraja na mishahara kwa miaka sita!?
Back
Top Bottom