Recent content by nkanga chief

  1. nkanga chief

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Tumegundua kuwa pesa za watumishi wa umma zinazotakiwa kulipa watu mishahara ndoo zinanunua madiwani ndoo mmeshindwa kulipa mishahara ya watumishi kwa wakati
  2. nkanga chief

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Kuna umhimu gani wa kuajiriwa sasa sema serikali hii haina pesa wawalipe watumishi mishahara yao kufanya miradi ni utashi wa mtu na hakuna uhusiano wa direct wa kuchelewesha mishahara
  3. nkanga chief

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Acha kutumika lipeni mishahara hatutaki siasa hapa
  4. nkanga chief

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Acha unafiki kama serikali yenu INA pesa lipeni mishahara acha kuleta siasa hapa za ovyo ovyo mishahara hamuongezi hapa unakuja na issue za kijani
Back
Top Bottom