Recent content by NKAMBIH

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi serikali za mitaa 2014

    Jeshi la polisi mkoani mara limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote cha watu kutojihusisha na vitendo vya vurugu,fujo ama vitisho vinavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani wakati wa zoezi zima la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa.
Back
Top Bottom